Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Altar of Incense: Placed before the vail in the outer sanctuary

3 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Placed before the vail in the outer sanctuary

  1. Weka hayo madhabahu mbele ya lile pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, lililo mbele ya kiti cha rehema kilicho juu ya Sanduku la Ushuhuda, mahali ambapo nitakutana nawe.

  2. Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu.

  3. Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia