Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Altar of Incense: Offering strange fire on

2 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Offering strange fire on

  1. Nadabu na Abihu, wana wa Aroni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea Bwana moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu.

  2. Hivyo moto ukaja kutoka kwa uwepo wa Bwana na kuwaramba, nao wakafa mbele za Bwana.