Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Altar of Incense: The priest burned incense on every morning and evening

2 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu The priest burned incense on every morning and evening

  1. “Itampasa Aroni kufukiza uvumba wenye harufu nzuri juu ya madhabahu kila siku asubuhi wakati anapowasha zile taa.

  2. Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za Bwana kwa vizazi vijavyo.