Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Altar of Incense: Had four rings of gold under the crown for the staves

2 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Had four rings of gold under the crown for the staves

  1. Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, ziwe mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko itumikayo kuibebea madhabahu.

  2. Akatengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, zikiwa mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko iliyotumika kuyabebea madhabahu.