Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Altar of Incense: Dimensions, &c of

3 mistari · 17 vipengele

Mistari kuhusu Dimensions, &c of

  1. “Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.

  2. Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, na kimo cha dhiraa mbili, nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.

  3. Akatengeneza madhabahu ya kufukizia uvumba kwa mbao za mshita. Ilikuwa ya mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, na kimo cha dhiraa mbili, nazo pembe zake zilikuwa kitu kimoja nayo.