Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Aliens: Numerous in times of David and Solomon

4 mistari · 13 vipengele

Mistari kuhusu Numerous in times of David and Solomon

  1. nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.

  2. Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.

  3. Ndipo Solomoni akaamuru ifanyike hesabu ya wageni wote waliokuwa katika Israeli, baada ya ile hesabu iliyofanywa na Daudi; wakapatikana watu 153,600.

  4. Kisha akakutanisha Yuda wote, Benyamini na watu kutoka Efraimu, watu wa Manase na Simeoni waliokuwa wanaishi miongoni mwao, kwa maana idadi kubwa walikuwa wamemjia kutoka Israeli walipoona kwamba Bwana Mungu wake alikuwa pamoja naye.