Mistari ya Biblia kuhusu Aliens: Jews authorized to purchase, as slaves
Mistari kuhusu Jews authorized to purchase, as slaves
“ ‘Watumwa wako wa kiume na wa kike watatoka katika mataifa yanayokuzunguka; kutoka kwao waweza kununua watumwa.
Pia waweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi katikati yako, na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako, nao watakuwa mali yako.