Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Aliens: Partially exempt from Jewish law

1 mstari · 13 vipengele

Mistari kuhusu Partially exempt from Jewish law

  1. Msile kitu chochote mtakachokuta kimekufa. Mnaweza kumpa mgeni yeyote anayeishi katika mojawapo ya miji yenu, naye anaweza kula au mnaweza kumuuzia mtu wa nchi nyingine. Lakini ninyi ni watu watakatifu kwa Bwana Mungu wenu. Msitokose mwana-mbuzi katika maziwa ya mama yake.