Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Affections: Should not grow cold

5 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Should not grow cold

  1. Ndipo walipoamini ahadi zake, nao wakaimba sifa zake.

  2. Lakini mara walisahau aliyowatendea, wala hawakungojea shauri lake.

  3. Kwa sababu ya kuongezeka kwa uovu upendo wa watu wengi utapoa,

  4. Ile hali ya furaha mliyokuwa nayo imekwenda wapi? Naweza kushuhudia kwamba, kama ingewezekana mngengʼoa macho yenu na kunipa mimi.

  5. “Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.