Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Affections: Carnal affections crucified in saints

2 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Carnal affections crucified in saints

  1. Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye ili ule mwili wa dhambi upate kuangamizwa, nasi tusiendelee kuwa tena watumwa wa dhambi.

  2. Wote walio wa Kristo Yesu wameusulubisha mwili na shauku zake pamoja na tamaa zake.