Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Affections: Of saints, supremely set on God

3 mistari · 12 vipengele

Mistari kuhusu Of saints, supremely set on God

  1. Kwa mwimbishaji. Utenzi wa wana wa Kora. Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu.

  2. Nani niliye naye mbinguni ila wewe? Dunia haina chochote ninachokitamani ila wewe.

  3. Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, usiniache niende mbali na amri zako.