Rukia maudhui

Tyre

52 verses · 2 known names

Anajulikana pia kama: Tyrus

33.2700, 35.1900 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Tyre

Chuja kwa kitabu
  1. Tulipokiona kisiwa cha Kipro, tukakizunguka tukakiacha upande wetu wa kushoto, tukasafiri mpaka Shamu, tukatia nanga katika bandari ya Tiro ambapo meli yetu ilikuwa ipakue shehena yake.

  2. Tukaendelea na safari yetu toka Tiro tukafika Tolemai, tukawasalimu ndugu wa huko, tukakaa nao kwa siku moja.