Skip to content

Bashan

52 verses

32.8000, 35.9300 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Bashan

Chuja kwa kitabu
  1. Anakemea bahari na kuikausha, anafanya mito yote kukauka. Bashani na Karmeli zinanyauka na maua ya Lebanoni hukauka.

  2. Piga yowe, ee mti wa msunobari, kwa kuwa mwerezi umeanguka; miti ya fahari imeharibiwa! Piga yowe, enyi mialoni ya Bashani, msitu mnene umefyekwa!