Skip to content

Eliphaz

8 mistari · 14 wanafamilia

Mistari inayomtaja Eliphaz

  1. Ada akamzalia Esau Elifazi, Basemathi akamzaa Reueli,

  2. Haya ndiyo majina ya wana wa Esau: Elifazi, mwana wa Esau ambaye mkewe Ada alimzalia; na Reueli, mwana wa Esau ambaye mkewe Basemathi alimzalia.

  3. Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi.

  4. Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.

  5. Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,

  6. Kora, Gatamu na Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wakuu waliotoka kwa Elifazi huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Ada.

  7. Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.

  8. Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.