Skip to content

Omar

3 mistari · 7 wanafamilia

Mistari inayomtaja Omar

  1. Wana wa Elifazi ni: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi.

  2. Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,

  3. Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.