Skip to content

Jaalam

4 mistari · 6 wanafamilia

Mistari inayomtaja Jaalam

  1. Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.

  2. Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: Yeushi, Yalamu na Kora.

  3. Wakuu wa wana wa Esau ambao mkewe Oholibama alimzalia ni: Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa mke wa Esau, Oholibama binti Ana.

  4. Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.