Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Zoar: Not destroyed with Sodom and Gomorrah

5 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Not destroyed with Sodom and Gomorrah

  1. Tazama, hapa kuna mji karibu wa kukimbilia, nao ni mdogo. Niruhusuni nikimbilie humo, ni mdogo sana, ama sivyo? Ndipo maisha yangu yatasalimika.”

  2. Akamwambia, “Vema sana, nitalikubali hili ombi pia, sitauangamiza mji ulioutaja.

  3. Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari.)

  4. Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi.

  5. Loti na binti zake wawili waliondoka Soari na kufanya makao yao kule milimani, kwa maana aliogopa kukaa Soari. Yeye na binti zake wawili waliishi katika pango.