Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Wilderness: Jesus' temptation in

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu Jesus' temptation in

  1. Kisha Yesu akaongozwa na Roho Mtakatifu kwenda nyikani ili akajaribiwe na ibilisi.

  2. Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani,

  3. naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia.

  4. Yesu, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akarudi kutoka Yordani. Akaongozwa na Roho Mtakatifu hadi nyikani,