Mistari ya Biblia kuhusu Widows: Woe to those who oppress
Mistari kuhusu Woe to those who oppress
Ole wao wawekao sheria zisizo za haki, kwa wale watoao amri za kuonea,
kuwanyima maskini haki zao na kuzuilia haki za watu wangu walioonewa, kuwafanya wajane mawindo yao na kuwanyangʼanya yatima.