Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Widows: Often devoted themselves entirely to God's service

2 mistari · 56 vipengele

Mistari kuhusu Often devoted themselves entirely to God's service

  1. Hivyo alikuwa mjane na umri wake ulikuwa miaka themanini na minne. Yeye hakuondoka humo Hekaluni usiku wala mchana, bali alikuwa akimwabudu Mungu, akifunga na kuomba.

  2. awe ameshuhudiwa kwa matendo yake mema, aliyewalea watoto wake vizuri, aliye mkarimu, aliyewanawisha watakatifu miguu, aliyewasaidia wenye shida na aliyejitolea kwa ajili ya matendo mema ya kila namna.