Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Widows: When young, exposed to may temptations

4 mistari · 56 vipengele

Mistari kuhusu When young, exposed to may temptations

  1. Lakini kwa habari za wajane vijana usiwaweke kwenye orodha hiyo, maana tamaa zao za kimaumbile zikizidi kule kujitoa kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena.

  2. Nao kwa njia hiyo watajiletea hukumu kwa kukiuka ahadi yao ya kwanza.

  3. Zaidi ya hayo, wajane kama hao huwa na tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba, wala hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo yasiyowapasa kusema.

  4. Hivyo nawashauri wajane vijana waolewe, wazae watoto na wasimamie nyumba zao, wasije wakampa adui nafasi ya kutushutumu.