Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Weather

5 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Dhoruba hutoka katika chumba chake, baridi hutoka katika upepo uendao kasi.

  2. Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako wakati nchi imenyamazishwa kimya bila upepo wa kusini,

  3. Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.

  4. Yesu akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

  5. Nanyi wakati wa asubuhi mnasema, ‘Leo kutakuwa na dhoruba, kwa sababu anga ni nyekundu na mawingu yametanda.’ Mnajua jinsi ya kupambanua kule kuonekana kwa anga, lakini hamwezi kupambanua dalili za nyakati.