Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Vanity: The worship of the wicked is

2 mistari · 60 vipengele

Tafuta "Vanity"

Mistari kuhusu The worship of the wicked is

  1. Acheni kuniletea sadaka zisizokuwa na maana! Uvumba wenu ni chukizo kwangu. Miandamo ya Mwezi, Sabato na makusanyiko ya ibada: siwezi kuvumilia makusanyiko yenu maovu.

  2. Nanyi mnaposali msiseme maneno kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu. Kwa maana wao hudhani kwamba watasikiwa kwa sababu ya wingi wa maneno yao.