Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Vanity: Worldly wisdom is

3 mistari · 60 vipengele

Mistari kuhusu Worldly wisdom is

  1. Kisha nikafikiri moyoni mwangu, “Hatima ya mpumbavu itanipata mimi pia. Nitafaidi nini basi kwa kuwa na hekima?” Nikasema moyoni mwangu, “Hili nalo ni ubatili.”

  2. Kwa kuwa mtu anaweza kufanya kazi yake kwa hekima, maarifa na ustadi, kisha analazimika kuacha vyote alivyo navyo kwa mtu mwingine ambaye hajavifanyia kazi. Hili nalo pia ni ubatili tena ni balaa kubwa.

  3. tena, “Bwana anajua kwamba mawazo ya wenye hekima ni ubatili.”