Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Unity of God: A ground for loving him supremely

4 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu A ground for loving him supremely

  1. Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja.

  2. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.

  3. Yesu akajibu, “Amri iliyo kuu ndiyo hii: ‘Sikia ee Israeli. Bwana Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.

  4. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote.’