Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Unity of God: His being the only source of pardon

2 mistari · 20 vipengele

Mistari kuhusu His being the only source of pardon

  1. Ni nani Mungu kama wewe, ambaye anaachilia dhambi na kusamehe makosa ya mabaki ya urithi wake? Wewe huwi na hasira milele, bali unafurahia kuonyesha rehema.

  2. “Kwa nini mtu huyu anasema hivi? Huyu anakufuru! Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mungu peke yake?”