Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Union With Christ: Identified with Christ by

4 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu Identified with Christ by

  1. “Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’

  2. “Naye atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi ambavyo hamkumtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, hamkunitendea mimi.’

  3. Naye Sauli alikuwepo pale, akiridhia kuuawa kwa Stefano. Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya kanisa huko Yerusalemu, waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Uyahudi na Samaria.

  4. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”