Mistari ya Biblia kuhusu Union With Christ: The Holy Spirit witnesses
Mistari kuhusu The Holy Spirit witnesses
Wale wote wanaozishika amri zake hukaa ndani yake na yeye ndani yao. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba anakaa ndani yetu. Nasi twajua hili kwa njia ya Roho yule aliyetupa.