Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tyre: Often confederated against the Jews and rejoiced in their calamities

3 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Often confederated against the Jews and rejoiced in their calamities

  1. Gebali, Amoni na Amaleki, Ufilisti, pamoja na watu wa Tiro.

  2. “Mwanadamu, kwa sababu Tiro amesema kuhusu Yerusalemu, ‘Aha! Lango la kwenda kwa mataifa limevunjika, nayo milango yake iko wazi mbele yangu, sasa kwa kuwa amekuwa magofu nitastawi.’

  3. Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Tiro, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu ameuza jumuiya nzima ya mateka kwa Edomu, na kutokujali mapatano ya undugu,