Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Tyre: Self-conceited

3 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Self-conceited

  1. Je, wewe una hekima kuliko Danieli? Je, hakuna siri iliyofichika kwako?

  2. Kwa hekima yako na ufahamu wako, umejipatia utajiri, nawe umejikusanyia dhahabu na fedha katika hazina zako.

  3. Kwa werevu wako mwingi katika biashara, umeongeza utajiri wako na kwa sababu ya utajiri wako moyo wako umekuwa na kiburi.