Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tyre: Depended for provision upon Galilee

1 mstari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Depended for provision upon Galilee

  1. Basi Herode Agripa alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Hivyo watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakatafuta kukutana naye. Wakiisha kuungwa mkono na Blasto, mtumishi maalum wa Mfalme Herode Agripa aliyeaminika, wakaomba mapatano ya amani maana nchi zao zilitegemea nchi ya huyo mfalme kwa mahitaji yao ya chakula.