Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trust: Blessedness of placing, in God

4 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu Blessedness of placing, in God

  1. Mbusu Mwana, asije akakasirika nawe ukaangamizwa katika njia yako, kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. Heri wote wanaomkimbilia.

  2. Onjeni mwone kwamba Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.

  3. Heri mtu yule amfanyaye Bwana kuwa tumaini lake, asiyewategemea wenye kiburi, wale wenye kugeukia miungu ya uongo.

  4. “Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika Bwana, ambaye matumaini yake ni katika Bwana.