Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Trust: Shall make them ashamed

4 mistari · 66 vipengele

Mistari kuhusu Shall make them ashamed

  1. Wale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.

  2. Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, kivuli cha Misri kitawaletea fedheha.

  3. kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.”

  4. Kisha Moabu atamwonea aibu mungu wao Kemoshi, kama vile nyumba ya Israeli walivyoona aibu walipotegemea mungu wa Betheli.