Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tribute: Persons enroled for, in the native place of their tribe and family

3 mistari · 24 vipengele

Mistari kuhusu Persons enroled for, in the native place of their tribe and family

  1. Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa.

  2. Hivyo Yosefu akapanda kutoka mji wa Nazareti ulioko Galilaya kwenda Uyahudi, mpaka Bethlehemu, mji wa Daudi, kwa sababu yeye alikuwa wa ukoo na wa nyumba ya Daudi.

  3. Alikwenda huko kujiandikisha pamoja na Maria, ambaye alikuwa amemposa naye alikuwa mjamzito.