Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tribute: Was resisted by the Galilaeans under Judas of Galilee

2 mistari · 24 vipengele

Mistari kuhusu Was resisted by the Galilaeans under Judas of Galilee

  1. Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa.

  2. Baada yake, alitokea Yuda Mgalilaya wakati wa kuorodhesha watu, naye akaongoza kundi la watu kuasi. Yeye pia aliuawa, nao wafuasi wake wakatawanyika.