Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tribute: All saints exhorted to pay

2 mistari · 24 vipengele

Mistari kuhusu All saints exhorted to pay

  1. Kwa sababu hii mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu, ambao hutumia muda wao wote kutawala.

  2. Mlipeni kila mtu kile mnachodaiwa. Kama mnadaiwa kodi lipeni kodi, kama ni ushuru, lipeni ushuru, astahiliye hofu, mhofu, astahiliye heshima, mheshimu.