Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Ministers: Stars

2 mistari · 38 vipengele

Tafuta "Titles and Names of Ministers"

Mistari kuhusu Stars

  1. Kuhusu siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume na vile vinara saba vya taa vya dhahabu ni hii: Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, navyo vile vinara saba ni hayo makanisa saba.

  2. “Kwa malaika wa kanisa lililoko Efeso andika: “Haya ndiyo maneno ya yule aliyezishika zile nyota saba katika mkono wake wa kuume na ambaye hutembea kati ya vile vinara saba vya taa vya dhahabu.