Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Ministers: Ministers of the gospel

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Ministers of the gospel

  1. Nimekuwa mtumishi wa Injili hii kwa kipawa cha neema ya Mungu niliyopewa kwa nguvu yake itendayo kazi.

  2. ikiwa mnaendelea katika imani yenu mkiwa imara na thabiti, pasipo kuliacha tumaini lililoahidiwa katika Injili. Hii ndiyo ile Injili mliyoisikia, ambayo imehubiriwa kwa kila kiumbe chini ya mbingu, na ambayo mimi Paulo nimekuwa mtumwa wake.