Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Titles and Names of Ministers: Ministers of Christ

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu Ministers of Christ

  1. ili kuwa mhudumu wa Kristo Yesu kwa watu wa Mataifa nikiwa na huduma ya kikuhani ya kutangaza Injili ya Mungu, ili watu wa Mataifa wapate kuwa dhabihu inayokubaliwa na Mungu, iliyotakaswa na Roho Mtakatifu.

  2. Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu.