Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Threshing: Followed by a winnowing with a shovel or fan

3 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Followed by a winnowing with a shovel or fan

  1. Maksai na punda walimao watakula majani makavu na vyakula vilivyotengenezwa, vinavyotandazwa kwa uma na sepeto.

  2. Utaipepeta, nao upepo utaichukua, dhoruba itaipeperushia mbali. Bali wewe utajifurahisha katika Bwana na katika utukufu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli.

  3. Pepeto lake liko mkononi mwake, naye atasafisha sakafu yake ya kupuria, na kuikusanya ngano ghalani na kuyateketeza makapi kwa moto usiozimika.”