Mistari ya Biblia kuhusu Threshing: Continued until the vintage in years of abundance
Mistari kuhusu Continued until the vintage in years of abundance
Kupura nafaka kwenu kutaendelea mpaka wakati wa kuvuna zabibu. Pia kuvuna zabibu kutaendelea mpaka wakati wa kupanda mbegu, nanyi mtakula na kushiba, na mtaishi salama katika nchi yenu.