Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Threshing: Of the labours of ministers

2 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Of the labours of ministers

  1. Kwa maana imeandikwa katika Sheria ya Mose: “Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka.” Je, Mungu hapa anahusika na ngʼombe?

  2. Je, Mungu hasemi haya hasa kwa ajili yetu? Hakika yameandikwa kwa ajili yetu, kwa sababu mtu anapolima na mpuraji akapura nafaka, wote wanapaswa kufanya hivyo wakiwa na tumaini la kushiriki mavuno.