Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Theft: Heavenly treasure secure from

2 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Heavenly treasure secure from

  1. Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba.

  2. Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu.