Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Theft: Brings the wrath of God upon those who commit it

2 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Brings the wrath of God upon those who commit it

  1. Watu wa nchi wanatoza kwa nguvu na kufanya unyangʼanyi, wanawatenda jeuri maskini na wahitaji na kuwaonea wageni, wakiwanyima haki.

  2. Hivyo nitaimwaga ghadhabu yangu juu yao na kuwateketeza kwa moto wa hasira yangu, nikiyaleta juu ya vichwa vyao yale yote waliyotenda, asema Bwana Mwenyezi.”