Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Theft: Illustrates the guilt of false teachers

4 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Illustrates the guilt of false teachers

  1. “Kwa hiyo, niko kinyume na manabii wanaoibiana maneno kana kwamba ni yangu,” asema Bwana.

  2. “Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi.

  3. Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia.

  4. Mwizi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi nimekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele.