Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu The Trinity: Creator

6 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Creator

  1. Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.

  2. Aliisafisha anga kwa pumzi yake; kwa mkono wake alimchoma joka aendaye mbio.

  3. Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.

  4. Vilisifu jina la Bwana kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa.

  5. Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.

  6. Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.