Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Trinity: Divine titles applied to the three persons in

4 mistari · 19 vipengele

Mistari kuhusu Divine titles applied to the three persons in

  1. “Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.

  2. Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”

  3. Petro akamuuliza, “Anania, mbona Shetani ameujaza moyo wako ili kumwambia uongo Roho Mtakatifu, ukaficha sehemu ya fedha ulizopata kutokana na kiwanja?

  4. Je, kabla hujauza hicho kiwanja si kilikuwa mali yako? Hata baada ya kukiuza, fedha ulizopata si zilikuwa kwenye uwezo wako? Kwa nini basi umewaza hila hii moyoni mwako kufanya jambo kama hili? Wewe hukumwambia uongo mwanadamu bali Mungu.”