Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Naphtali: Chosen from Zebulun to go with Barak against Sisera

2 mistari · 26 vipengele

Tafuta "The Tribe Of Naphtali"

Mistari kuhusu Chosen from Zebulun to go with Barak against Sisera

  1. Akatuma wamwite Baraka mwana wa Abinoamu kutoka Kedeshi huko Naftali na kumwambia, “Bwana, Mungu wa Israeli, anakuagiza: ‘Nenda, chukua wanaume 10,000 toka Naftali na Zabuloni, mwende Mlima Tabori.

  2. mahali ambapo Baraka aliwaita Zabuloni na Naftali. Watu 10,000 wakamfuata Baraka, na Debora pia akaenda pamoja naye.