Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sword: Of the tongue of the wicked

3 mistari · 44 vipengele

Mistari kuhusu Of the tongue of the wicked

  1. Niko katikati ya simba, nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, ambao ndimi zao ni panga kali.

  2. Wananoa ndimi zao kama panga na kuelekeza maneno yao kama mishale ya kufisha.

  3. Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji.