Mistari ya Biblia kuhusu Swearing Falsely: Shimei
Mistari kuhusu Shimei
Solomoni alipoambiwa kuwa Shimei ametoka Yerusalemu na kwenda Gathi na amekwisha kurudi,
mfalme akamwita Shimei na kumwambia, “Je, sikukuapiza kwa Bwana na kukuonya kuwa, ‘Siku utakayoondoka kwenda mahali pengine popote, uwe na hakika utakufa?’ Wakati ule uliniambia, ‘Ulilolisema ni jema. Nitatii!’
Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa Bwana na kutii amri niliyokupa?”